tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
- Thread starter
-
- #21
Bei ni Millioni sita na nusu tunakuchimbia na kukufungia pampu kwa gharama yetu, millioni nane tuna kuchimbia tunakuwekea pampu,tunakupa na tanki la maji,tuna kufanyia water test maabara kwa hiyo unaweza ukachagua mwenyewe tu mkuuDah,
Kwa iyo mita 100 ndio bei gani?
Kwa hiyo hapo kwenye Tank la maji itabidi niweke mnara mimi mwenyewe, au sio??Bei ni Millioni sita na nusu tunakuchimbia na kukufungia pampu kwa gharama yetu, millioni nane tuna kuchimbia tunakuwekea pampu,tunakupa na tanki la maji,tuna kufanyia water test maabara kwa hiyo unaweza ukachagua mwenyewe tu mkuu
Ndio mkuuKwa hiyo hapo kwenye Tank la maji itabidi niweke mnara mimi mwenyewe, au sio??
Punguza bei kesho tufanye biashara kaka!!Ndio mkuu
Mkuu tuwasiliane tuongee vizuri basiPunguza bei kesho tufanye biashara kaka!!
Mitambo inauwezo wa kuchimba kipenyo hicho ila bei siyo hiyo mkuuJe mitambo yenu ina uwezo wa kuchimba kisima chenye kipenyo cha inchi 8 au kisima kinachotumia pump kubwa ya three phase; na bei yake ndiyo hiyo ya 60,000/= kwa mita.
Mkuu nilishachimba,Mkuu tuwasiliane tuongee vizuri basi
Haina tatizo mkuuMkuu nilishachimba,
nitakua na project ingine Kibiti after two month, tutaongea hiyo
Mkuu upoHaina tatizo mkuu