TUNACHIMBA VISIMA VYA MAJI KWA MKOPO #0754397178 KWA MITA MOJA TUNACHIMBA 50,000/= NA SURVEY TUNAFANYA KWA 250,000/= TUPO DAR, MIKOA YOTE TUNAFIKA.
Tunachimba visima virefu vya maji kwa mashine za kisasa na kasi kubwa, Kwa mita moja tunachimba kwa 50,000/= pamoja na casing ya Inch 5, Kwa wakazi wa Dar es salaam na pwani, Na mikoani ni 75,000 kwa mita moja.
Kwa mfano kisima cha …..
Mita 50 = 2,500,000
Mita 100 =5,000,000
Mita 150 = 7,500,000
Kama mteja atakwama kiasi kidogo wastani 40% ya gharama za mradi wake ataangaliwa kukopeshwa kisima na atatakiwa kulipa ndani ya miezi michache.
Tunafanya utafiti wa maji ya ardhini (Underground water survey ) kwa Tsh.laki 2.5 (250,000/=) Kwa wakazi wa Dar na Pwani na laki nne #(400,000/=) kwa kwa wakazi wa mikoani, kutumia mashine za kisasa na mpya ambazo ni LCD Digital zinazo kuwezesha kujua kina cha Maji, wingi, mkondo wa maji, chumvi ukiwa pale pale site na bila kuhitaji kwenda kwenye computer,
UTAPATIWA REPORT YAKO SIKU HIYO HIYO BAADA YA KUTOKA SITE.
HATUJAWAHI KUKOSA MAJI KWA KUTUMIA MASHINE ZETU ZA UNDERGROUND WATER DETECTOR ZA LCD.
UKIKOSA MAJI TUNAFIDIA KWA KUCHIMBA KISIMA KINGINE BILA MALIPO.
Tupo Dar Es Salaam Mbezi Luisi Mikoa yote tunafika. #0754397178
#ZINGATIA:
1) Unashauriwa kabla ya kuanza kujenga nyumba kama unakiwanja kidogo ufanye survey ya maji unaweza ukajenga sehemu yenye mkodo wa maji, Siku ukihitaji kuchimba kisima ukakosa sehemu ya kuchimba kisima katika eneo lako.
2) Unashauriwa kufanya utafiti wa maji aridhini kabla ya kununua shamba au kiwanja kama sehemu hiyo ina tatizo la maji ili kujiridhisha eneo / plot unayonunua ina maji usije ukanunua sehemu isiyo na mkondo wa maji ukashindwa kuja kuchimba kisima katika eneo lako au maji yakawa mbali / chini sana ikakubidi kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kuchimba kisima, kumbe ungepima mapema ungeepuka gharama zisizo tarajiwa.
3) Mkulima Unashauriwa kuacha kutegemea mvua ambazo hazitabiriki na ukashindwa kuokoa mazao yako au kupata mavuno kidogo kutokana na mabadiriko ya tabia ya nchi na kujikuta unapata hasara kubwa.
4) Unaweza kutumia changamoto ya ukosefu wa Maji kwa maeneo mengi hasa ya Vijijini kama wazo la biashara kwa kuchimba Kisima cha Maji na kuuza maji.