Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Sina utani wala hapa sijaja kucheza chama kimenituma na moto ni ulele tu.
Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, mbunge, mganga mkuu, afsa ardhi, RPC).
Mbunge jimboni kwako vipi miradi mbona haikamiliki.
Mganga mkuu jengo la mama na mtoto litaisha lini.
Afsa Ardhi kesi ya huyu mama umewahi kuisikia.
RPC hawa jamaa kesi yao ilikuwaje
Tunahitaji majibu
Hawa wananchi wapo hapa wanahitaji majibu.