Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ukimaliza unasepa zako wala hurudi nyuma, wanyonge wanakupigia makofi imeisha hiyo.Sina utani wala hapa sijaja kucheza chama kimenituma na moto ni ulele tu.
Tunacho hitaji hapo ni majibu (Engineer, mbunge, mganga mkuu, afsa ardhi, RPC).
Mbunge jimboni kwako vipi miradi mbona haikamiliki.
Mganga mkuu jengo la mama na mtoto litaisha lini.
Afsa Ardhi kesi ya huyu mama umewahi kuisikia.
RPC hawa jamaa kesi yao ilikuwaje
Tunahitaji majibu
Hawa wananchi wa Arusha wapo hapa wanahitaji majibu.
Kazi inaanza keshoNgoja tuone
Watumishi waliokuwa wanafanya kazi kwa mazoea wakiona huu uzi wanatamani ufutwe.Ndiyo ukakaa na kupata mawazo hayo?Vema.Utapata majibu.
Asanteee. Thank you dada. Hayo ndio tunayoyategemea kutoka kwake. Pia utalii na usafi wa jiji.Sina utani wala hapa sijaja kucheza chama kimenituma na moto ni ulele tu.
Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, mbunge, mganga mkuu, afsa ardhi, RPC).