Tunadarizi na kuchapa t-shirts/shirts

Msee Paka

Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
41
Reaction score
38
Huduma nzuri na bora ya kutengeneza, kudariz na kuchapa logo/nembo kwenye t-shirts na shirts kwaajili ya wafanyakazi/wanafunzi na matukio mbalimbali.

BEI; Kudarizi ni sh 13,000@ pamoja na t-shirt (Original form sx) na kuchapa/printing ni sh 11,000@ pamoja na t-shirt (Original from sx). Karibu. Call/whatsap. 0759190519

 
Zungumzia kuhus large printing

Nikuletee order ya T shirt 100 kwa bei hio hio?
 
Ushonaji maridhawa wa nguo za kazi za Viwandani, Godauni, Maabara, Ujenzi na hata kwenye sekta ya afya. Call/whatsap. 0759190519/ 0677002867.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…