kila ugomvi unachanzo chake, na mara nyingi usipende kusikiliza upande mmoja, kwa nini usimfuate shemeji yako ukamuuliza na yeye kulikoni? sometimes waweza kuta ni kitu kidogo sana tena sana mpaka ukashangaa, kama jamaa hakumpa unyumba mkewe kwa miezi tisa yawezekana kuna kitu hapo katika tendo la ndoa walikosana jaribu kudadisi utaupata ukweli.Pengine alimtakia maneno mabaya wakati wa tendo, au nii mvivu, huwezi jua nini kilitokea. MFANO mimi hupenda sana kumfikisha mwenza wangu kwanza, namwacha kama dk 5 apumzike halafu mie ndo humaliza. hii ilikuja baada ya siku moja kmaliza kabla yake alinisema siku nzima toka that day sasa kimehamia kwake sasa akishamaliza yeye anakuwa hoi bin taaban, anaomba mchezo uahirishwe mpaka baadaye, kweli mie hujawa na hasira na mie nakasirika lkn always i try to reason kwamba after all she is my wife, she needs TLC (Tender Love "N" CARE). sasa vitu kam hivi kama si mwelewa ugomvi utaanzia hapo hapo mwanamke gani huniridhishi, ukimaliza weye tu basi hutaki tena, matusi kibao, mwishowe unaanza tafuta ka binti nje eti kakukate kiu, huko nako una end up na frustrations tu. so MUULIZE vizuri huyo your sis' aseme UKWELI