nyamayao- ila huyo shemeji yako kwa kweli ni kama jamii ya shemeji manyoyaa ah- unyama gani huo hivi hata watu wakisikia alichomfanyia mwenzie si ataonekana kituko?
Kama angekuwa mstaarabu alitakiwa akashtaki kwa wazee kuwa mkewe anacheat na si kumfanyia hayo aliyofanya
Hacra My foot!
Hivi nyamayao huyo sisy wetu kibody yukoje? Ameshindwa hata kujitutumua akashika zile balls akavuta? Napandwa na hasira kadri ninavyozidiisoma hii thread- ngoja nipumzike kwanza
...maelezo ya sis ni kwamba" nilivyoona hivyo ikabidi na mie niwe na bfnd wa kukidhi haja yangu" j5 last week mr alirudi home na ugomvi wake wa kila wakati.... mr alikuwa amesha spy akajua mke wake anatoka nje ya ndoa, kesho yake alhamic sis akiwa job akapata msg kutoka kwa aliedhani ni bfrd wake " njoo hotel ile ile na room ile ile kuna mzigo nataka kukupa coz nasafiri, nimetumia no hii coz no yangu imeji block"...sis kaenda hana ajualo kufika kaingia room, anaingia tu akashangaa mlango umefungwa kwa nguvu kushangaa mfungaji ni mume wake....ugomvi mkubwa huko room, mr akamwambia kama umekuja huku ukiwa kwenye hali hii(period) ina maana huyo mtu wako unaekujaga nae hapa unampaga mchezo mwngne, sasa na me leo utanipa kwa nguvu...alifanya ya kufanya mpaka sis alizimia(ana athma)...
Hacra My foot!
Hivi nyamayao huyo sisy wetu kibody yukoje? Ameshindwa hata kujitutumua akashika zile balls akavuta? Napandwa na hasira kadri ninavyozidiisoma hii thread- ngoja nipumzike kwanza
hata mimi nimejawa na roho wa kisasi
sijafanyiwa ufedhuli huu bado...angelipa mara kumi elfu nakwambia
My Mbu you dont buy what? Mtu ashakwambia mwenzie hakuoni kama una mfaa kwani huduma anaipata kutoka kwa Blandina inamtosha kabisa sasa you dont buy what?? Sio ninyi mnaoshauriana kuwa mke akimnyima mumewe haki ya ndoa anampa ruhusa mumewe aende nje ya ndoa? Tena mnamsema huyo mama hadi basi. Sasa iweje mke akifanyiwa hayo mnashangaa?....Safi sana.
Hayo ya kutokupewa unyumba miezi tisa, sijui ana asthma, mara ugomvi kila siku, yote ni kutafuta sympathy tu,
I dont buy it.
Kufumania ni kufumania tu, machungu yake yale yale na adhabu zinatofautiana. Wengine wanawatembeza mitaani, wengine wanaua, wengine huwaita kina Shigongo nk...
Ngoja ni print hii Wife nae aisome na aielewe...
...acheni nyie, kufumaniwa mchezo? unakuwa mduuuchu kama piriton vile, kila unaloamrishwa unafanya. Unless ni ngangari uliyekubuhu na ushakufa wadudu kichwani.
Eti avute nini? thubutu.
Hebu geuzeni story hii hii,
Wewe ndiwe uliyemfumania Mumeo hapa. Siku zooote ulikuwa unamuamini, ila baada ya kugundua kuna kabinti kanamzuzua mumeo, Umemtega kwa sms naye kaingia chumbani tayari tayari "kupewa zawadi." Ingelikuwa wewe Nyamayao, au Mwanajamii'1 au bht mngechukua hatua gani uionayo wewe inamstahiki mumeo wa ndoa, aka baba watoto wako, aka mshirika mwenza kwenye 'uduga wa shuka' ?

kwangu mie nadhani ctaumia njia ya namna hiyo...nita spy makazi yao ya kupata moja moto moja baridi ndio nikaaribie huku, yaani kitu live live, baada ya hapo ndio kila mtu atafikiria kama anahitaji kuendelea na ndoa au laaa, tutapeana likizo ya muda.
...acheni nyie, kufumaniwa mchezo? unakuwa mduuuchu kama piriton vile, kila unaloamrishwa unafanya. Unless ni ngangari uliyekubuhu na ushakufa wadudu kichwani.
Eti avute nini? thubutu.
Hebu geuzeni story hii hii,
Wewe ndiwe uliyemfumania Mumeo hapa. Siku zooote ulikuwa unamuamini, ila baada ya kugundua kuna kabinti kanamzuzua mumeo, Umemtega kwa sms naye kaingia chumbani tayari tayari "kupewa zawadi." Ingelikuwa wewe Nyamayao, au Mwanajamii'1 au bht mngechukua hatua gani uionayo wewe inamstahiki mumeo wa ndoa, aka baba watoto wako, aka mshirika mwenza kwenye 'uduga wa shuka' ?
My Mbu you dont buy what? Mtu ashakwambia mwenzie hakuoni kama una mfaa kwani huduma anaipata kutoka kwa Blandina inamtosha kabisa sasa you dont buy what?? Sio ninyi mnaoshauriana kuwa mke akimnyima mumewe haki ya ndoa anampa ruhusa mumewe aende nje ya ndoa? Tena mnamsema huyo mama hadi basi. Sasa iweje mke akifanyiwa hayo mnashangaa?
Hatukatai na tumekiri kuwa sisy amefanya makosa kwa kulipiza kisasi cha kijinga vile.
Ajabu eti kufumania kunauma sisi hatuumii mnapotueleza live kuwa 'nimempata Blandina mtoto bikra sio wewe niliyekukuta uko 'used'!!! Ama kweli mwacheni mwanaume aitwe mwanaume. Mnanichosha mie.
Ni kweli bht na mimi hii huwa inanipa shida sana ndo maana naona bora nikae nao mbali maana dunia yangu ya kufikirika imenikaa sana nawezatafuna mtu kw abahati mbaya mwe!!You will never understand them my dear!!! its like sisi tuna mioyo ya mawe that we dont feel the pain or we were created to endure this pain!!
kufanya wafanye wao tukifanya sie ni kosa.....
Ni kweli bht na mimi hii huwa inanipa shida sana ndo maana naona bora nikae nao mbali maana dunia yangu ya kufikirika imenikaa sana nawezatafuna mtu kwa bahati mbaya mwe!!
Fanya kuipotezeya babu hujaiona lolNgoja nisichangie kitu hapo nisijeharibia watu swaumu ya kwaresma bure....
Ngoja nisichangie kitu hapo nisijeharibia watu swaumu ya kwaresma bure....
haswa, maana sisi tunatamani dunia ambayo kiukweli it doesnt exist at all.....mwafaka ni huo tu, acha watupitie mbali.Ni kweli bht na mimi hii huwa inanipa shida sana ndo maana naona bora nikae nao mbali maana dunia yangu ya kufikirika imenikaa sana nawezatafuna mtu kw abahati mbaya mwe!!
habari zenu humu ndani, nadhani wote wazima wa afya na mmemaliza wkend salama, mie yangu ilikuwa mbaya sana tu.....
ijumaa asubuhi nilipata call kutoka kwa sis wangu( mtoto wa mamkubwa) analia tu ananiambia ndio anapanda shuttle aje kwangu, hataki kuongea kilichomcbu akidai mpaka afike, alifika mchana mr ndio alienda kumpokea me nilikuwa nina kikao job, mr akani sms kuwa dadako huku analia tu hataki kuongea lolote mpaka utakapofika...nimefika home bado analia tu nikamuacha apoe then akaniomba tuingie room anielezee....jamani huyu sis wangu ana matatizo ya muda mrefu na mr wake imefikia mr hampi haki ya ndoa ni miezi 9 sasa, na mr anasema anataka kuoa tena amempata blandina binti portable na virgin sio yeye sis aliemkuta kasha2mika...ni ugomvi kila kukicha hapo kwao..maelezo ya sis ni kwamba" nilivyoona hivyo ikabidi na mie niwe na bfnd wa kukidhi haja yangu" j5 last week mr alirudi home na ugomvi wake wa kila wakati.... mr alikuwa amesha spy akajua mke wake anatoka nje ya ndoa, kesho yake alhamic sis akiwa job akapata msg kutoka kwa aliedhani ni bfrd wake" njoo hotel ile ile na room ile ile kuna mzigo nataka kukupa coz nasafiri, nimetumia no hii coz no yangu imeji block"...sis kaenda hana ajualo kufika kaingia room, anaingia tu akashangaa mlango umefungwa kwa nguvu kushangaa mfungaji ni mume wake....ugomvi mkubwa huko room, mr akamwambia kama umekuja huku ukiwa kwenye hali hii(period) ina maana huyo mtu wako unaekujaga nae hapa unampaga mchezo mwngne, sasa na me leo utanipa kwa nguvu...alifanya ya kufanya mpaka sis alizimia(ana athma)....mr akatoweka akiona imekuwa kasheshe, alizinduka hapo akamcal frnd wake wa karibu akaenda kumsaidia akalala kwake asubuhi ndio akapanda shuttle kuja huku...nimechoka jamani...hivi hapa mtaamuaje hili suala mana mie mwenzenu nimechoka kabisa..... nimechoka mwili na roho.
Si ndo mana nikalivua kaka? Nisijepata murder case bure!!MJ utafune n'tu wa nn wkt ulisha livua pendo?