Tunaelekea wapi?

mie nimekata tamaa ya maisha sana, nipo nipo tu ili mradi cku zisonge, yana maisha yana mambo mengi mno jamani......


kukata tamaa ya maisha siyo solution .kilichobaki wewe muombe mungu wako kwani yeye anaweza yote.
napiya kumbuka malipo ni hapa hapa duniani
 

Mnaona?
sote tunazungumza lugha moja, 'ngeli' tu zinatofautiana 😉

...ukweli unabakia pale pale, Mke/Mume anauma bana. Mpaka siku utapofumania 'live' ndipo utapopimwa uwezo wa busara zako au makeke ya 'maruhani' yako.
 

Mhhh! Huu ni unyama wa hali ya juu! Hata kama umepata ushahidi kwamba mkeo naye ana nyumba ndogo ndiyo umshike kwa nguvu ili akupe nanihii!? 🙂
Huyu binti angeamua kupiga hata kelele labda ingesaidia kuepukana na yaliyomkuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…