GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Kaizer Chiefs ya jana na ya sasa siyo ile yenyewe kwani bado Inajitafuta
2. Kaizer Chiefs ya sasa ( ya jana ) bado inajikongoja kwa miaka / misimu karibia saba
3. Kaizer Chiefs ya jana ( ya sasa ) ilikuwa na takribani Wiki moja tokea Wachezaji wajiunge kwa Pre Season
4. Kaizer Chiefs ya jana ( ya sasa ) ilicheza bila ya Wachezaji wake Saba ( 7 ) wa Kikosi cha Kwanza
5. Kaizer Chiefs ya jana ( ya sasa ) ndiyo Timu inayodharauliwa Kimatokeo Afrika nzima
6. Kaizer Chiefs ya jana ( ya sasa ) Kocha wake Mkuu mpya Nabi amekuwa nayo kwa Siku Mbili tu Kambini
7. Kaizer Chiefs ya jana ( ya sasa ) umaarufu iliyobakisha ni ya Kibiashara tu ila si ya Kimchezo Uwanjani
Vile vile......
1. Kambi ya Misri hadi sasa Kiufundi sijaona kilichofanikishwa zaidi ya bla bla nyingi na maonyesho
2. Kambi ya Misri inaonyesha kuwa Timu bado inajitafuta na huenda hivi karibuni tukaumia zaidi
3. Kambi ya Misri imejaa mno Hamasa za Kimtandaoni ila Uhalisia wake Kimaandalizi hauonekani
4. Kambi ya Misri ni ya Kuwahadaa tu Mashabiki mbumbumbu ila ingebakia Tanzania ingesaidia zaidi
5. Kambi ya Misri ni ya kuwaonyesha Mambumbumbu kuwa niko nanyi kama Tajiri wakati si kweli
6. Kambi ya Misri imejaa mchanganyiko wa Wachezaji wabovu, wanaojitahidi na waliokuja Kutalii
7. Kambi ya Misri ni ya Kupunguza tu Presha iliyopo na kuhonga Mashabiki Mazuzu wasifu wakati bado Timu ni mbovu
Hii inaitwa SINDANO TUKUKA za GENTAMYCINE na ukikwazika nazo tafuta Sumu ya Panya uikoroge unywe na Ufe kabisa.