Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
🤣Makocha wote wana CV.
Tumeisha wajaribu sana hao wenye CV na bado mambo yalikuwa haya haya
Tumeifunga zambia kwao wakiwa na kocha mzoefu mno wa mpira Avram Grant
Nadhani huu wakati twende na kiemba na Julio wakiwa chini ya Moroko
Ya kwanza tumeyaona kwenda afcon huko Sasa nadhani watajipanga tuvuke group stageSawa utaona matoke yake
Waende Brazil au Argentina wachukue kocha hata wa ligi ya daraja la 8 kule, anaweza kutufikisha hata robo fainali au kuchukua ubingwa kabisa.Tanzania hatujawahi kushinda mchezo wowote katika kushiriki kwetu afcon. Kwa ufupi nimiongoni mwa timu dhaifu sana katika mashindano ya AFCON zilizopita.
Pamoja na unyonge huo tunatakiwa kujitutumua kwenye maandalizi , TFF tafuteni mwalimu mwenye uwezo mkubwa na hili halihitaji kupepesa macho. Nchi inayoshika nafasi zaidi ya 110 haiwezi kutoa kocha mwenye mafanikio , nchi zinazotumia makocha wa nchi zao ninchi zenye mafanikio kimpira.
Kuhusu ligi namba 5 africa , hilo lisituponze kabisa , ukitaka kujua ubora wa ligi yetu ondoa Simba, Yanga, na singida big staa na timu zenye wachezaji wa kigeni kinachobaki ndio ligi yetu
Haha wanabana matumizi etWaende Brazil au Argentina wachukue kocha hata wa ligi ya daraja la 8 kule, anaweza kutufikisha hata robo fainali au kuchukua ubingwa kabisa.
Mpira unafundishika mkuuHapa hata umlete carlo nakuambia kama hakuna vijana wanaoujua mpira ni kazi bure.
Tatizo hatuna players ambao ligi kubea duniani wanaweza kuangazia macho huku ili wawachukue
Unaona vitoto vya spain namna vinavyo ubonda? Pale usidhani eti kisa kocha vile ni vipaji na vimeandalowa tangu mbali. Hapa tz hali ipoje?
naunga mkono hoja huyo morroco,mgunda na julio hawana uwezo wa kufundisha taifa starsTanzania hatujawahi kushinda mchezo wowote katika kushiriki kwetu afcon. Kwa ufupi nimiongoni mwa timu dhaifu sana katika mashindano ya AFCON zilizopita.
Pamoja na unyonge huo tunatakiwa kujitutumua kwenye maandalizi , TFF tafuteni mwalimu mwenye uwezo mkubwa na hili halihitaji kupepesa macho. Nchi inayoshika nafasi zaidi ya 110 haiwezi kutoa kocha mwenye mafanikio , nchi zinazotumia makocha wa nchi zao ninchi zenye mafanikio kimpira.
Kuhusu ligi namba 5 africa , hilo lisituponze kabisa , ukitaka kujua ubora wa ligi yetu ondoa Simba, Yanga, na singida big staa na timu zenye wachezaji wa kigeni kinachobaki ndio ligi yetu
Uwezo wa kufundisha taifa stars wanao ila hawana uwezo wa kupambana na viwango vya makocha wa timu za taifa za mataifa menginenaunga mkono hoja huyo morroco,mgunda na julio hawana uwezo wa kufundisha taifa stars
Wachezaji wangapi wameenda kufanya mjaribio nje na kushindwa? Ni kuwa wenzetu wako.mbele sana. Viwanja, sera, uwekezaji, vipaji, unakuta club moja inaMpira unafundishika mkuu
Makocha hawachezi bali viwngo vy wachezaji. Kocha yupo kuingiza mbinu na kupangua mbinu za opponent. Ukiweza mbinu halafu wchezaji ndo kama hao akina bacca, hossein, n.k hufiki popote. Quality ya mchezaji itaamua mechi.Uwezo wa kufundisha taifa stars wanao ila hawana uwezo wa kupambana na viwango vya makocha wa timu za taifa za mataifa mengine
Pamoja na hivyo kocha ana nafasi kubwa sana katika kusaka vipaji vya timu ya taifa pamoja na kurekebisha kasoro za kiuchezaji n.kMakocha hawachezi bali viwngo vy wachezaji. Kocha yupo kuingiza mbinu na kupangua mbinu za opponent. Ukiweza mbinu halafu wchezaji ndo kama hao akina bacca, hossein, n.k hufiki popote. Quality ya mchezaji itaamua mechi.
FAINALI YA KOMBE LA DUNIA MBINU ZAMAKOCHA ZILIWEKWA KANDO. KILICHO BAKI PALE ILIKUWA QUALITY ZA WACHEZAJI NDIO ZILIAMUA MECHI ILE.
Tuseme ukweli, TFF hawana nia ya dhati kuhakikisha mpira wa Tanzania unakua. Yaani wameshindwa nini kuchukua watoto wa miaka 8 na kuendelea (hata wa kwangu ningeweza kuwapa) wakawapeleka academy za soka nchi za ulaya, Spain, France, UK, na kule America, Brazil ,Argentina ili wakajifunze? Waingie mikataba na wazazi wa watoto kuwa gharama zote zitakua juu ya TFF na wao wazazi watapata access ya kuwaona watoto wao kwa utaratibu wataokubaliana, wazazi hawawezi kataa kutoa watoto wenye vipaji.Wachezaji wangapi wameenda kufanya mjaribio nje na kushindwa? Ni kuwa wenzetu wako.mbele sana. Viwanja, sera, uwekezaji, vipaji, unakuta club moja ina
Senior team
Under 20
Under 19
Under 18
Huko kote wanapika vipaji.
Bado wanaweza kwenda kwenye soko la dunia kumnunua mchezaji wanaye mtaka
Je unajua kwa uhafifu wa kimpira tulionao hakuna mchezaji nweza toka bongo direct asajiliwe Epl?
Hapo ndo unamis point. Vipaji haviskwi kwenye timu ya taifa. Pale vinakusnywa vipaji ambavyo tayari ni vipaji. Na unajua vinatokea wapi?Pamoja na hivyo kocha ana nafasi kubwa sana katika kusaka vipaji vya timu ya taifa pamoja na kurekebisha kasoro za kiuchezaji n.k
Hapa sasa unaanza kuongea pointsTuseme ukweli, TFF hawana nia ya dhati kuhakikisha mpira wa Tanzania unakua. Yaani wameshindwa nini kuchukua watoto wa miaka 8 na kuendelea (hata wa kwangu ningeweza kuwapa) wakawapeleka academy za soka nchi za ulaya, Spain, France, UK, na kule America, Brazil ,Argentina ili wakajifunze? Waingie mikataba na wazazi wa watoto kuwa gharama zote zitakua juu ya TFF na wao wazazi watapata access ya kuwaona watoto wao kwa utaratibu wataokubaliana, wazazi hawawezi kataa kutoa watoto wenye vipaji.
Kila nchi wapeleke mtoto 1, baada ya miaka 5 watoto warudi nchini, tutakuwa na mapro hatari sana. Wapeleke watoto 22 tu. Kutakua 💥🔥
Sema ndio hivyo, timu ni Simba na Yanga na viongozi ndio haohao wa Simba na Yanga