Utunzaji wake unataka umakini mkubwa kitu ambacho wengi hawakiwezi
Mfano hydraulic yake ni special (CVT ya lita 5), inauzwa 140,000 hivi usijaribu HATA SIKU MOJA kuweka CVT ya lita moja moja.. Utajuta kuifahamu Nissan
Sent using
Jamii Forums mobile app