Car4Sale Tunafanya Biashara ya kuuza na kununua magari, mapya na yaliyotumika Tanzania

Car4Sale Tunafanya Biashara ya kuuza na kununua magari, mapya na yaliyotumika Tanzania

TOYOTA RAV4 #BYB
1999 MODEL
TAIRI SAFI
FULL AC
CLEAN INTERIOR
Price bei mil 8.7
Tsh 8,700,000
Call/whatsapp 0672697409
IMG-20210502-WA0028.jpg
 
Toyota Camry #ALK
Price/bei mil 3.7
Tsh 3,700,000
Engine 3s
Cc 1990
Full AC
Call/whatsapp 0672697409

IMG_20210502_093611_801.jpg
 
Picha zako nyingi hazifunguki. Badili njia unayotumia kupost hizo picha.

Hata kwenye Camry pia ni picha moja tu ndio inafunguka.
 
Toyota RUSH (DJB)
Price/bei mil 14.5
Tsh 14,500,000
Year 2006
Cc 1490
Kms 88,700
New Tires
Music Radio/
Cd/Bluetooth/Flash
Imported From Japan
Gari imetunzwa vizuri
Call/whatsapp 0672697409

View attachment 1771718
IMG_20210503_055901_616.jpg
IMG_20210503_055901_621.jpg
IMG_20210503_055901_635.jpg
IMG_20210503_055901_648.jpg
 
Toyota ist #CMV
Price/bei Mil 6.5
Tsh 6,500,000
Year 2003
Cc 1290
Full Ac
Call/whatsapp 0672697409
IMG_20210503_062917_975.jpg
IMG_20210503_062918_037.jpg
IMG_20210503_062918_032.jpg
IMG_20210503_062918_042.jpg
 
4sale: NISSAN DUALIS (Chassis No.+Registration)
Price/bei mil 20.
Tsh 20,000,000
Year 2007
Cc 1990
Kms 55,100
Engine MR20
New Tires
Music Radio/
Cd/Bluetooth
Gari imetunzwa vizuri
Gari imewasili nchini tunakufanyia usajili wa namba mpya.
Call/whatsapp 0672697409

IMG_20210503_072119_108.jpg
IMG_20210503_072119_160.jpg
IMG_20210503_072119_126.jpg
IMG_20210503_072119_169.jpg
IMG_20210503_072119_172.jpg
IMG_20210503_072119_175.jpg
 
Ndugu, mzigo umeuelewa uchukue uweke ndani.

Xtrail kuanzia mfumo Umeme wake mpaka gearbox ni pasua kichwa.

Wachunguze wanaoendesha. Wanafuraha kweli?

Sijaonaga mwenye xtrail akitabasamu njiani. Wote wanakuwaga na sura za hasiraaa, mawazo kedekede wametega sikio kama wanasikiliza engine muda wowote kitaumana.

Ila Mara kibao utapishana nazo nimepakiwa pembeni zinachemka meaning that hata system zake za kupooza engine ni mtihani. Lol
Hahahaha umenifurahisha, kuna mjomba wangu aliniazima na xtrail yake wakati nimemrudushia alieniuzia xtrail yake, uncle alikua anaisifia kwamba gari yake yeye ni mzima siku ameniazima nilichoka, nimkweli gari ilikua na uwezo wa kwenda mbele ila huo mlio wa engine sasa na hapo kwenye dashboard ni kama umewasha mtu xmass....wanaosifia hizi gari ni madalali ndio watakaokuletea habari za kuzingatia service....mimi ni mtu wa kutunza sana gari yangu ila xtrail ilinishinda
 
Pole ndugu yangu lkn bora ulivyotemana nayo.

Umenikumbusha nilitajaga Harrier pia ila jamaa Wana hasira hao 🤣Walinipopoa nikabaki hoves kabisa.

Niliwaambia haziuziki wakafugie kware aisee. 🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Kwa maoni au uzoefu wako ni aina gani ya gari ambayo ni nzuri?
 
Kwa maoni au uzoefu wako ni aina gani ya gari ambayo ni nzuri?
Ndugu, kwa vile Tz ( most African Countries kwa ujumla) tunaagiza used cars ni vigumu kusema for sure 💯 % gari flani ni perfect. Kwanza ni Vyombo vilivyoundwa na binaadamu ambaye yeye mwenyewe sio perfect na ndo maana huwezi kuta review ambayo ni 100% perfect ya gari yeyote. Hii hupelekea Magari mengine kuwa recalled kiwandani kutokana na udhaifu/ hitilafu.

Ila sasa kuna Magari kibongo bongo ni ya kutazama with extra caution. Toyota Tu Swift tule tuduchu kama IST, Harrier, Extrail mengine wadau wataongeza.

But binafsi Suzuki, Mjerumani.... Mara nyingi wapo ok.
 
Asante kwa maoni haya chanya.

Kama nimekuelewa vizuri,unamaanisha kwamba gari aina ya IST,Harrier na Xtrail ikibidi ni aina ya gari za kuepuka "otherwise buy at your own risk?"

Mjerumani hakika ni habari nyingine,hawa ni "bendera chuma,mlingoti chuma".

Suzuki nao wako poa?
 
Back
Top Bottom