That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Njoo na hapa KaruceeHongera mkuu gari nzuri, ila kila nikiona xtrail damu inasisimka hakuna gari ilinitesa kama hiyo...dalali George ulieniuzia ile gari Mungu akulaani, gari ile ilichangia sana kuniingiza kwenye lindi la umaskini...nilionywa sana kwamba xtrail ni mbovu sikusikia....kila la kheri mnunuzi.