Tunafanya finishing ya nyumba na kuzibadilisha kuwa za kisasa

3d_3 - Photo.jpg
 
Mmelibadili fizikale on the ground au kulitengenezea picha.

Picha zako mbona zinaonekana kabisa ni AI generated na sio kitu halisi?
Nenda sasa mwonyeshe pagale lako udhani litakuwa kama hili la kuchora! Mkuu mwanzisha thread, Hharyson , moja ya kosa kubwa unalofanya ni kutumia picha za uongo ''kusema ukweli''. Jaribu kutafuta pagale la aina hiyo. ulirekebishe kiukweli ulitumie kama mfano.... utafanikiwa.
 
Pagale lina mteremko...finished pics zina tambarare
 
Na hii inaonesha usivyo reliable. Wewe sio muaminifu, unapenda kudanganya sasa kwanini nikupe kazi?
 
Back
Top Bottom