Tunafanya ukarabati wa sofa kwa bei nafuu

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Posts
12,039
Reaction score
11,822
Habari wanajamvi....?...nachukua fursa hii kuwakaribisha wateja wote ambao watakuwa na uhitaji wa kufanyiwa repair furnitures zao,ikiwemo sofa set/single,vitanda,makabati na vinginevyo vinavyohusu furniture kwa ujumla,,

repair zetu zinarudisha furniture kuwa kwenye muonekano mpya kabisa...tunarepair kwa kiwango chenye ubora zaidi

Gharama zetu ni nafuu,tunaanzia 180,000/= na kuendelea inategemea na aina ya furniture pia inategemea na set...

kwa mawasiliano zaidi 0714988215 / 0692449416
KARIBUNI SANA LOCATION KEKO FURNITURE
PIA FURNITURE MPYA KABISA ZINAPATIKANA

NOTE:Vile vile tunaweza kuja kukurekebishia sofa set kwako kwa makubaliano au unaweza ukaleta furniture yako ofisini kwa gharama zako binafsi


 
KARIBUNI SANA.....tukufanyie repair ya sofa kwa ubora zaidi nakuwa mpya kabisa
 
Ujasema upo wapi kamanda
 
Bravo Fundi... hongera..
Sasa Location yenu jee usafirishaji inakuwajee?
( yaani kuchukuwa nyumbani hadi kurejesha)
kuna njia mbili mkuu ambazo kama mteja unahitaji kuzifuata,,,,,
1.ulete furniture yako ofisini
2.Nije kukufanyia ukarabati sehemu ambayo unaishi ila lazima gharama zitakuwa tofauti sababu lazima vitendea kazi nibebe na nitakuwa nnje ya ofisi
 
kuna njia mbili mkuu ambazo kama mteja unahitaji kuzifuata,,,,,
1.ulete furniture yako ofisini
2.Nije kukufanyia ukarabati sehemu ambayo unaishi ila lazima gharama zitakuwa juu sababu lazima vitendea kazi nibebe na nitakuwa nnje ya ofisi
Sawa kbs.... nashukuru nitapanga Nike ofisini tuongee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…