Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili kabati picha ya chini kabisa bei gani? Je ni mbao ngumu?Habari wakuu?
karibuni sana mjipatie huduma zote za furniture ikiwemo kufanya repair kwa furniture zilizo chakavu na pia unaweza kupata furniture mpya kabisa
0692449416View attachment 2271527View attachment 2271528View attachment 2271529View attachment 2271530
Sofa za watu wawili zipo mbili,na ya mtu mmoja ipo moja..vip unaweza kudesign ziwe shape ya L sofa mkuu..na waweze kuenea watu watatu kila upande..ni bei gan?mninga 1M
mbao ngumu ya kawaida 450,000/=
karibu sana mkuu
hapo inakuwa ni changamoto kwasababu design ya sofa ni frame hivyo lazima frame niiunde upya kulingana na design unayoitakaSofa za watu wawili zipo mbili,na ya mtu mmoja ipo moja..vip unaweza kudesign ziwe shape ya L sofa mkuu..na waweze kuenea watu watatu kila upande..ni bei gan?
Hilo ni kuja na kichukua au ni mpaka kuplace order?mninga 1M
mbao ngumu ya kawaida 450,000/=
karibu sana mkuu
Ulimcheki?Mwakani nitakuchek nina Kochi langu la watu wawili nahitaj kulifanya repair
Aisee!! Kwakweli sikumcheki,Ulimcheki?