Tunafanya ukarabati wa sofa kwa bei nafuu

Habari wakuu?
karibuni sana mjipatie huduma zote za furniture ikiwemo kufanya repair kwa furniture zilizo chakavu na pia unaweza kupata furniture mpya kabisa

0692449416
 
mninga 1M
mbao ngumu ya kawaida 450,000/=

karibu sana mkuu
Sofa za watu wawili zipo mbili,na ya mtu mmoja ipo moja..vip unaweza kudesign ziwe shape ya L sofa mkuu..na waweze kuenea watu watatu kila upande..ni bei gan?
 
Sofa za watu wawili zipo mbili,na ya mtu mmoja ipo moja..vip unaweza kudesign ziwe shape ya L sofa mkuu..na waweze kuenea watu watatu kila upande..ni bei gan?
hapo inakuwa ni changamoto kwasababu design ya sofa ni frame hivyo lazima frame niiunde upya kulingana na design unayoitaka
 
Hilo ni kuja na kichukua au ni mpaka kuplace order?
unaplace order au unaweza ukaja ofisini ukaangalia design nyingine uipendayo maana stock ya design hiyo zimetoka jana
 
Niwatakie siku njema ya Lugha ya kiswahili pia sabasaba njema,
karibuni sana
 
KWANZA NIWATAKIE HAPPY NEW YEAR

Karibuni sana wakuu kwaajili ya repair ya furnitures na pia kujipatia furnitures mpya kabisa..
 
,370k

Karibu sana 0714988215 , 0692449416
 
Habari wakuu karibuni sana kwa furnitures repair na new furnitures

0692449416 / 0714988215
 
Habari,anza mwaka kwa kujipatia furniture yako mpya kabisa ama tukufanyie repair nakurudi kwenye hali mpya

Karibuni sana 0714988215 / 0692449416
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…