Tunafanyaje kuhusu suala la Ushuru TRA?

Tunafanyaje kuhusu suala la Ushuru TRA?

Muda si mrefu nimetoka kuongea na TRA kupitia namba zao zile za huduma kwa mteja.

Muhusika ananiambia kuwa wao wameshaevaluate hiyo bei kwa flat rate wanayoitambua. Ikiwa ndogo zaidi ya ile waliyoipanga then wanachukua iliyopangwa ikiwa ni kubwa zaidi waliyoipanga wanachukua hiyo bei mpya uliyokuja nayo.

Upumbavu wa karne.

Ananiambia consideration ipo katika consumer goods nyingine but sio magari na mashine nyinginezo. Aisee nikakasirika sana. Nikamuuliza so hapa nani tunamuwajibisha akasema wabunge wenu wanaotunga Sheria. Wao ndio wanaomletea commissioner na serikali sheria wao ndio watunga sheria.

Commissioner na serikali wao wanadeal na maelekezo ya hizo sheria.

Jamani tuwe serious na watu wanaokwenda bungeni jamani.

Mabadiliko yanatakiwa kuanzia bungeni pale.
 
Magari ya serikali mengi ni chakavu pia alafu kama serikali zetu zingekuwa sikivu wangepunguza ushuru angalau Kwa 30% pengine nusu ya watanzania wangemiliki gari
 
Niliwahi uliza hili swala mahala. Inakuaje gari inachajiwa kodi zaidi ya bei ya kuinunulia wakati Tra hawajui kuitengeneza hata nut ya kwenye hiyo gari? Nikajibiwa lengo hasa ni ku control traffic jam, miundombinu yetu bado haiwezi kuruhusu kila raia kumiliki gari hivyo kodi kua juu kuna control idadi ya magari kuendana na miundombinu yetu.
 
Muda si mrefu nimetoka kuongea na TRA kupitia namba zao zile za huduma kwa mteja.

Muhusika ananiambia kuwa wao wameshaevaluate hiyo bei kwa flat rate wanayoitambua. Ikiwa ndogo zaidi ya ile waliyoipanga then wanachukua iliyopangwa ikiwa ni kubwa zaidi waliyoipanga wanachukua hiyo bei mpya uliyokuja nayo...
Wao wame evaluate hio bei kwa vigezo gani? Bunge limewapa sheria ya ku evaluate kwa vigezo vipi? Huyo na wenzie ni clueless kwenye sector ya magari na bei zake.
 
Hoja dhaifu sana kwasababu watu wanakimbilia magari ya bei nafuu, traffic iko pale pale.
 
Kodi ya magari yote yenye umri zaidi ya miaka 10 ni kubwa kuliko gharama ya kulinunua na kulisafirisha.

Ukitaka kodi ndogo nunua magari yenye umri chini ya miaka 10.

Kumbuka serikali inahesabu kama takataka na uchafuzi wa mazingira kwa magari above 10 years.
Sikubaliani na wewe mjumbe. Hebu nenda kwenye calculator ya TRA angalia kodi ya magari ya kuanzia miaka ya 2011 na kuendelea..kodi zake si za kitoto...Hawa TRA hawako kwa lengo la kumsaidia mnyonge.

Lakini bora gari chakavu la Japani kuliko haya machakavu tunayouziana wenyewe Kwa wenyewe..

Unanunua gari namba A, unajikuta wewe ni mmiliki wa 9, limegongwa gongwa na kupata ajali mara kadhaa..
Limenyooshwa limejaa puti kilo 35..[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Niliwahi uliza hili swala mahala. Inakuaje gari inachajiwa kodi zaidi ya bei ya kuinunulia wakati Tra hawajui kuitengeneza hata nut ya kwenye hiyo gari? Nikajibiwa lengo hasa ni ku control traffic jam, miundombinu yetu bado haiwezi kuruhusu kila raia kumiliki gari hivyo kodi kua juu kuna control idadi ya magari kuendana na miundombinu yetu.
Nadhani nilishaiona hiyo comment yako.....
 
Wao wame evaluate hio bei kwa vigezo gani? Bunge limewapa sheria ya ku evaluate kwa vigezo vipi? Huyo na wenzie ni clueless kwenye sector ya magari na bei zake.
Nimemhoji yule dada wa huduma kwa mteja ameshindwa kunipa majibu ya kueleweka cha zaidi alikuwa anatoa majibu kama nesi wa muhimbili.
 
Sikubaliani na wewe mjumbe. .Hebu nenda kwenye calculator ya TRA angalia kodi ya magari ya kuanzia miaka ya 2011 na kuendelea..kodi zake si za kitoto...Hawa TRA hawako kwa lengo la kumsaidia mnyonge...

Lakini bora gari chakavu la Japani kuliko haya machakavu tunayouziana wenyewe Kwa wenyewe..

Unanunua gari namba A, unajikuta wewe ni mmiliki wa 9, limegongwa gongwa na kupata ajali mara kadhaa..
Limenyooshwa limejaa puti kilo 35..[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Eti puti kilo 35...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio maana magari haya yanakuwa yanakula sana mafuta sababu yana uzito wa puti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kodi ya magari yote yenye umri zaidi ya miaka 10 ni kubwa kuliko gharama ya kulinunua na kulisafirisha.

Ukitaka kodi ndogo nunua magari yenye umri chini ya miaka 10.

Kumbuka serikali inahesabu kama takataka na uchafuzi wa mazingira kwa magari above 10 years.
Nani kakudanganya?
 
Roho inaniumaga sana kwenye Subaru Legacy BM9 au Forester SH9....lazima uache milioni 24,000,000 wakati gari umelinunha $4000
 
Muda si mrefu nimetoka kuongea na TRA kupitia namba zao zile za huduma kwa mteja.

Muhusika ananiambia kuwa wao wameshaevaluate hiyo bei kwa flat rate wanayoitambua. Ikiwa ndogo zaidi ya ile waliyoipanga then wanachukua iliyopangwa ikiwa ni kubwa zaidi waliyoipanga wanachukua hiyo bei mpya uliyokuja nayo...
Wabunge hawatungi sheria. Serikali ndio wanaotunga sheria na kuzipeleka bungeni, wabunge kazi yao ni kuzipitisha kwa kura za ndioooo
 
Kodi ya magari yote yenye umri zaidi ya miaka 10 ni kubwa kuliko gharama ya kulinunua na kulisafirisha.

Ukitaka kodi ndogo nunua magari yenye umri chini ya miaka 10.

Kumbuka serikali inahesabu kama takataka na uchafuzi wa mazingira kwa magari above 10 years.
SI kweli
 
Roho inaniumaga sana kwenye Subaru Legacy BM9 au Forester SH9....lazima uache milioni 24,000,000 wakati gari umelinunha $4000
Na Volkswagen jamaa wanapiga kodi ya kukomoa...
 
Wabunge hawatungi sheria
Serikali ndio wanaotunga sheria na kuzipeleka bungeni, wabunge kazi yao ni kuzipitisha kwa kura za ndioooo
Hapana serikali hawapeleki sheria bungeni, huwa wanapeleka mswaada ili ujadiliwe na ukishapitishwa ndipo unageuzwa kuwa sheria baada ya raisi kusign
 
Hayo magari yenyewe yanashikika sasa.... Gari ya kuanzia mwaka 2010 nyingi ndigo zinacheza milioni 10+ hapo bila kodi na vikolokolo vya kuileta. Ukija za zaidi ya hapo pesa inaongezeka.

Sasa kiuhalisia ni kweli hapo tunadeal na uchakavu au tunashindwa tu kutumia akili.

Gari inaweza kuwa ni ya miaka ya nyuma kuanzia miaka 2005 kushuka. But ikawa ni imara na nzuri kwa matumizi na kwa mazingira.

Shida ni hawa watendaji wengi wao ukitrace history zao unagundua ni zile sampuli zimetoka bush zilikuja mjini kusoma utadhani zinasomea kijiji. Hazina exposure ya maisha mazuri hata kidogo. Sasa watu wa namna hii wengi ni sadistic hata awe na kazi nzuri vipi asili yake habadiliki. Anakuwa na akili ya uchoyo na ubinafsi hapendi kuona wengine wakiishi maisha ya furaha anataka watu wateseke ili yeye ajiskie vizuri.

Roho mbaya sana haya majitu ya TRA.
Daaaaah umeongea kwa uchungu sana na ukweli mkuu,

Pole kwa iyo kadhia....Naunga hoja.
 
Muda si mrefu nimetoka kuongea na TRA kupitia namba zao zile za huduma kwa mteja.

Muhusika ananiambia kuwa wao wameshaevaluate hiyo bei kwa flat rate wanayoitambua. Ikiwa ndogo zaidi ya ile waliyoipanga then wanachukua iliyopangwa ikiwa ni kubwa zaidi waliyoipanga wanachukua hiyo bei mpya uliyokuja nayo...
Mnapeleka std seven, tunategemea nini hapo kila jambo ndiyooooo.
 
Back
Top Bottom