Tunafanyiwa ulozi sana kwenye mahusiano

Tunafanyiwa ulozi sana kwenye mahusiano

Inawezekana mkuu, kwa sababu kwa sasa kuna wimbi kubwa la vijana wanalelewa na wamama waliojiimarisha kiuchumi
Hakika hayo yanawezekana,kuna njemba moja iliwahi niomba nimtafutie jimama limlee. Jibu nililompa hajawahi nisogelea kwa upuuzi huo. Likiniona linajificha kabisaa
 
Kuna dada huwa nimezoea kumtania alinipa orodha ya jamaa tunao fanya nao kazi walio tengenezwa na wake zao (ni wamama wa nyumbani) duu[emoji23][emoji23][emoji23] na ukiwacheki washkaji wamepoa kinoma wanashinda nyumbani tu wakitoka job yaani ni zaidi ya makondoo,wanaume tunalishwa matakataka sana na hawa viumbe tulio watoa ubavuni.
 
Ni wakuogopa hawa watu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnahangaika mno, acha tuwaroge tu sasa. Hebu fikiria unapigwa tukio home and away, utaacha kuwa na kichwa resi kama cha Extrovert
Hahahahahah kwahio mie kichwa resi jamani😅
 
Kuna dada huwa nimezoea kumtania alinipa orodha ya jamaa tunao fanya nao kazi walio tengenezwa na wake zao (ni wamama wa nyumbani) duu[emoji23][emoji23][emoji23] na ukiwacheki washkaji wamepoa kinoma wanashinda nyumbani tu wakitoka job yaani ni zaidi ya makondoo,wanaume tunalishwa matakataka sana na hawa viumbe tulio watoa ubavuni.
Hahahahah hao wazee wa ndio mzee
 
Hiz stori za uwanga zinanikumbusha stori ya jamaa yetu mmoja bana alipataga mchepuko wa kitanga. bidada kawiva vzuri km maharagwe yale ya njano. sasa jamaa akashangaa akiwa na mchepuko anapiga mashuti na darizi kama zote ila sasa akirudi nyumbani mambo yanakuwa doro si kawaida (mnara hausomi hata chembe) ila akisema tu aende kwa ule mchepuko ebwanaee litapigwa ligwaride hata la usiku kucha. Jamaa akaona ndoa yake inaelekea mashakan akafanya maamuzi magum akampiga chini fasta yule mchepuko kuinusuru ndoa yake. haya mauchawi yapo pandugu.
 
Back
Top Bottom