Kiwalani finest
Member
- Jul 6, 2024
- 97
- 72
Sisi watu Wasio waadilifu
Wasiosoma
Mapato na Matumizi
Hao tunawapigia chapuo wawe Viongozi wa kumuongoza fukara na kumuinua kiuchumi.
Watu wenye uwezo tunawawekea zengwe na kuwapachika sifa za hovyo wasizo kuwa nazo .
Kisha matatizo yakitokea tunajitokeza hadharani bila aibu Wala haya kulalamikia .
Toka lini mtu asiyekuwa
Muadilifu na Muaminifu akaaminika kuujenga
Uadilifu
Na
Uaminifu!?!?
Haya ndiyo madhara ya Ubinafsi , uchoyo , Roho mbaya na hila ziwapelekeazo walio wengi kuupa likizo ubongo wao na kuamuwa kufikiri kwa kadri njaa zilizo jaa Ubinafsi na choyo zinavyo wa drive.