KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Mimi nadhani heshima inakuwa haijavunjika na kinachotokea ni watu wawili kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi huku mkiheshimiana zaidi kuliko hata ilivyokuwa kablaUkimkuta mpenzi wako amesimama kiasarahasara na mtu wa jinsia tofauti, mara nyingi hujitetea ,,yule ni sister/braza angu,,Tunaheshimiana, hewezi kunitaka/kunitongoza.
Swali, je unapomtongozwa au kumkubalia muwe wapenzi inamaana mnakua mmevunjiana heshima??
Heshima na nguo zako
bila nguo mwilin hakuna heshima.
Kama wamevaa nguo poa tu lakini wakivua nguo no heshima hapo maana hata PhD uliyonayo haisomi hapo!!!