KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Ukimkuta mpenzi wako amesimama kiasarahasara na mtu wa jinsia tofauti, mara nyingi hujitetea ,,yule ni sister/braza angu,,Tunaheshimiana, hewezi kunitaka/kunitongoza.
Swali, je unapomtongozwa au kumkubalia muwe wapenzi inamaana mnakua mmevunjiana heshima??
Swali, je unapomtongozwa au kumkubalia muwe wapenzi inamaana mnakua mmevunjiana heshima??