Taifa letu linahitaji watu wenye Kariba ya ANTONY MTAKA yule mkuu wa Dodoma wengi zaidi kama 1000 hivi ili washike nyazifa na vitengo mbalimbali serikalini.
Kwanza nikili sijawahi kumuona na Wala simfahamu na ikitokea tumekutana sehemu ambapo hakuna shughuli kubwa ya kiserikali naweza nisimfahamu kabisa.
Lakini kazi zake na maelekezo yake zikiwemo speech zake utagundua kuwa yule ni kiongozi alifaa hata kushika nafasi ya juu zaidi ya hiyo.
Hongera ANTONY MTAKA kazi yako inaonekana kwa macho bila majivuno Wala kiburi Mwenyezi Mungu akutangulie daima katika utumishi wako