Tunahitaji kina Diamond na Ali kiba wengi

ricktz

Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
20
Reaction score
11
Muziki wa Tanzania utakufa kama mashabiki na vyombo vya habari vitabaki kitukuza watu wawili tu.

Mashabiki yawapasa kutambua kuwa kuna vipaji vingi sana Tanzania na vinahitaji sapoti yao ili kuzidi kuipeperusha bendera ya Tanzania. Media zimekua chanzo cha kukuza migogoro ya wasanii mwisho wa siku tunapata ALIKIBA NA DIAMOND wawili tu kwenye muziki.
PART II...............
 
Unataka wakina MOND wengi,wakati huo huo kila wimbo unaotoka mnaushindanisha na nyimbo za DIAMOND πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Alikiba simple minde
 
Mnataka kina diamond platnumz wengi, wakati huyu kila siku hamuishi kumsingizia mara analoga wenzake, ana roho mbaya, anadharau kila sifa mbaya mbaya mnampa yy, ili mradi mumpandishe mtu wenu, mpaka ajali ya darasa mnasema yy kasababisha, yaani kijana wa watu kila siku mnajitahidi kumkatisha tamaa ila mungu anampigania. Mkitaka akina diamond wengi lazima huyu tulie nae aheshimiwe na si kila siku kumzushia ili mumshushe kimziki.
 
alikiba alipoanza mziki kabla ya diamond hakukuwa na shida yoyote mpaka pale alipochoka mwenyewe au sijui aliishiwa ila hali ilikuwa shwari kabisa, akaja diamond wakati huo kiba hayuko kwenye game akafanya vizuri sana na kuhit sana mambo yalikuwa shwari tu, sasa bwana shida ikaja pale kiba na team yake walipotaka kurudi kwenye game kwa kupitia mgongo wa diamond, ndo hapo mambo yalipoharibika, watu wakagawanyika na mpaka leo imekuwa kama si diamond basi alikiba hata kama hawastaili lakini mtu mwingine anaestahili hawezi kupata.
 
Una akili sana
 
Tunahitaji wakina diamond hata 100.. M nadhani wakina darasa, Jux, Ben pol, bele 9 wadau wanaweza ongeza juhudi kwa hawa tukapara wasanii wengi..!! Allykiba hafai anamatatizo ya mahusiano na wenzake ..mfitini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…