gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 14,889 Reaction score 18,593 Aug 1, 2025 #21 Lord Delamere in Kenya said: Kwa huu uchawa kwanini watoto na wajukuu wa Baba wa Taifa wasiendelee kula vumbi huku wale wa Mwinyi na Samia wakila mapande makubwa ya keki ya taifa? Click to expand... Wajukuu wa familia ya Sykes vipi?
Lord Delamere in Kenya said: Kwa huu uchawa kwanini watoto na wajukuu wa Baba wa Taifa wasiendelee kula vumbi huku wale wa Mwinyi na Samia wakila mapande makubwa ya keki ya taifa? Click to expand... Wajukuu wa familia ya Sykes vipi?
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 14,889 Reaction score 18,593 Aug 1, 2025 #22 mrangi said: Hata mananasi kiwangwa wakenywa huwa wanunuzi wakubwa Ova Click to expand... Waje kununua wapeleke kwao,siyo wakarundike buguruni,kumenya na kuanza kuuza vipande
mrangi said: Hata mananasi kiwangwa wakenywa huwa wanunuzi wakubwa Ova Click to expand... Waje kununua wapeleke kwao,siyo wakarundike buguruni,kumenya na kuanza kuuza vipande
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 14,889 Reaction score 18,593 Aug 1, 2025 #23 Abnormal said: Reuben Challe Nkubaliana na wewe kabisa kwenye hili, ukweli kwamba tunategemeana kwa asilimia kubw sana kwa sasa hivyo ni muhimu vitu kama hivi vifanyike kwa hesabu sawa sawa. Click to expand... Hatuwategemei wakenya sisi kwa lolote,wao wanatutegemea kwa chakula 40%,vifaa vya ujenzi,walete mbwembwe tusitishe kuwauzia msosi waandamane wauane
Abnormal said: Reuben Challe Nkubaliana na wewe kabisa kwenye hili, ukweli kwamba tunategemeana kwa asilimia kubw sana kwa sasa hivyo ni muhimu vitu kama hivi vifanyike kwa hesabu sawa sawa. Click to expand... Hatuwategemei wakenya sisi kwa lolote,wao wanatutegemea kwa chakula 40%,vifaa vya ujenzi,walete mbwembwe tusitishe kuwauzia msosi waandamane wauane
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,204 Reaction score 61,081 Aug 1, 2025 #24 Lucha said: Baba yako Nyerere aliwafungulia wafanya biashara kesi za uhujumu uchumi kisa kawakuta na sabuni na sukari ilikua ni wivu au kisirani? Click to expand... Swali zuri sana Umenikumbusha na hasira zimerudi Kweli alijua kutukomesha Sijui anajibu nini huko
Lucha said: Baba yako Nyerere aliwafungulia wafanya biashara kesi za uhujumu uchumi kisa kawakuta na sabuni na sukari ilikua ni wivu au kisirani? Click to expand... Swali zuri sana Umenikumbusha na hasira zimerudi Kweli alijua kutukomesha Sijui anajibu nini huko