Tunahitaji kuandaa Timu ya Taifa!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
kwa namna wachezaji wetu wanavyocheza!Kama tunataka mafanikio ni lazima,tuwekeze kwa Hawa kina Chilunda,nado,muzamir,miraji no...Naona mantiki ya hoja ya Mwakyembe kuhusu wachezaji wa nje!Mf Muzamir ni hazina ya Taifa lakini so mchezaji tegemeo wa Simba!
 
Tunacheza mpira mdomoni, hata hivyo vilabu vya Simba, Yanga , Azam nk hakuna kitu ni makelele ndio tunaweza.
 
Naona kelele ni nyingi kuliko vitendo,tukiacha siasa nakuwa serious nadhani tutafika,mi nasinzia tu hapa VIP B
 
Tuache kuwa na matumaini bila kuwekeza,tuna vipaji,ila tunahitaji mkakakati ya maana!
 
Kwani leo timu ya taifa ilikuwa inacheza?
 
Sudan Wana mpira mkubwa,Timu yeti ni changa
 
Naona hoja ya Mwakyembe...mafowadi wakali wote nchini ni mapro,anabaki veteran Boko tu
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Tumuunge Mkono Kuhusu Wanajeshi Waajiriwe Kwenye Timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…