Tunahitaji kujuzwa kuhusu hali ya Mafuta nchini

Mkuu Brazaj yaani leo Komredi wako Lema anamkumbuka kwa mazuri kipenzi chetu JPM?!!!😳😳🀣🀣

Chambilecho wahenga waso haya na miji yao!!!!

Muhimu kumwelewa Lema kabla ya kumnukuu out of context. Kumbuka Lema ni mwana maono.

Lema kuhusiana na maji na umeme anasema:

1. Awamu ya tano ilipuuzia uwekezaji sahihi kwa ajili ya maji na umeme.
2. Hata hivyo anasema Lema ni kweli hakukuwa na upungufu wa maji au umeme awamu ya tano:

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.


3. Kwamba hapa kuna mapya na changa la macho katika awamu ya sita? Huenda limo:







Ninadhani Lema ni consistent.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…