Tunahitaji maendeleo ya taifa letu bila blaa blaa za kutufananisha na mataifa mengine sababu sisi sio wao

Tunahitaji maendeleo ya taifa letu bila blaa blaa za kutufananisha na mataifa mengine sababu sisi sio wao

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa mbogamboga analeta blablaa za kuifanqnishq Tanzania na Congo sjui Malawi na wapi sjui .... yani nasema hivi Tanzania inapaswa kuwa vile #Tanzania ilipaswa kuwa vile Tanzania inapaswa kuwa pale Tanzania ilipaswa kuwa.

Tanzania sio chi zingine ki advantage na ki disadvantages pia. Hivyo hakunanchi inapaswa kujifananisha na sisi wala sisi hatupaswi kujifananisha na wengine.

Nimemjiskia vibaya Nchi kama yetu hii inakua na mtaji mkubwa sana kuwazidi wote Africa Mashariki kati na kusini kwetu kwote hadi South Africa alaf kimtu kinaanza kujifananisha na nchi ambazo zipo disavantaged sana ili kutupoza tusidai maendeleo thabiti kupitia siasa.

Sasa nchi unazo lazimishq tujifanqnishe nazo ili tukalie kimya upuuzi wenu na bituminous wenu Zina nini kama sisi ??
1. zilipata uhuru mapema kama sisi ??
2. Zina amani kama sisi ??
3. Zilipata akina mwalim Jk, akina Bi Titi Muhammad na wengine kama sisi ??
4. Zina resources kama sisi ?? Jumlisha bandaging na masoko .
5. Arable land imekaaje huko ?? Ni kubwa kiaje ??
6. Na idadi ya watu je ?


So in that case Tanzania ilipaswa kuwa mbele mbali kabisa. Kuzidi Rwanda, Burundi, Kenya nakila nchi. Hata Botswana. Hivyo Waacheni wengine na wao waongoze nchi wajinga nyie.
 
Back
Top Bottom