Kama kituo kina wapiga kura 500. Kila mpiga kura atahitaji si chini ya dakika tatu (3) kuingia kwenye chumba kupiga kura na kutoka ( kwa uzoefu wangu wapo wanaochukuwa hata dakika kumi).
Hisabati inaniambia watu 500 x dakika 3=1500(dakika)
dakika 1500/60 = masaa 25.
Wana JF hivi tume imetoa siku ngapi kupiga kura?
NJOONI TUSEMEZANE!!!!!?????
hivi chumba kinakuwa kimoja?