Nilitegemea kwa hali ya sasa watawala wangelionesha signs za remorse kwa yliyotokea 29/10. Na kutaka kuliondoa taifa kwenye giza hili. Hilo halipo...
Kwa sasa unaona kabisa kuwa wanatamani Gen Z woooooooooooooooote /watanganyika woooooooooooooooooote wauawe wabaki na wazanzibar may be na Waarabu!
Akina Kitila and Co. Ltd la walafi wa madaraka, tukifika hatua hiyo nanyi mtanyongwa maana si wazazibari! Hata mapolis kuna kitu kizito kitawapiga utosini! Kwani mnaweza shindana na waarabu kwenye vita? hamuwezi!
Ni hayo kwa leo!