Tunahitaji mfumo mpya wa kijasusi?


Kwani hao uliowataja walifanyaje au walifanyiwa kitu gani??
 
Hakika twahitaji,
Mfumo tulio nao kwa sasa ni ule wa unanijua wewe mimi ni nani?
Ambao hauna mashiko/tija kwa Dunia ya sasa.
 
tatizo walioajiriwa kwenye mfumo wetu wa usalama nao ni watoto wa wanasiasa na ndugu zao ni shida kweli, vyombo vyetu vya usalama vinatumikia wanasiasa tu.
 
Hivi maandiko kama hata wana usalama wa mitandaoni wakiyasoma huwa wanampelekea mkuu ayapitie au ?
 
Na ninavyoona mimi siasa zimekuwa na nguvu ya kuingilia hadi usalama wa taifa.. usalama waachane na siasa ikifikia hapo nadhani patakuwa na mwanzo mzuri
 
Nadhani the best way ni kutenganisha chama tawala na TISS.
Only way to do this is through katiba...
 
Na ninavyoona mimi siasa zimekuwa na nguvu ya kuingilia hadi usalama wa taifa.. usalama waachane na siasa ikifikia hapo nadhani patakuwa na mwanzo mzuri
Na siasa zimeletwa na chama... TISS na hata vyombo vingine vya usalama.. vitenganishwe na chama ... ili wanasiasa wa chama tawala wasiweze kukitumia kwa maslahi yao binafsi kama tunavyoona sasa
 
Kuna tofauti kubwa kati ya modern days thiefs/ robbers na intelligence officers.

So watu huwa wanajuaje kuwa mtu anahela ameenda kuchukua benki.. simple.. because ndani ya benki kuna wafanya kazi wanaovujisha siri hizi. Wanatumia hizo taarifa na kumpora mtu.
However in 9/11 kuna conspirancy theories kibao... kuhusu hili tukio. But all of them hazija mention kuwa pakistani ISI waliblock intel so that CIA ,FBI wasizipate.. kuhusu tukio lilikuwa limepangwa litokee.
To me that possibility is ZERO
 
Hizi taasisi za kidola , zina haribiwa na viongozi wenye malengo na masilahi yao binafsi
 
Mchokoza maada sikumuelewa pengine kwa kuwa alijaribu kuweka vitu vingi kwa wakati mmoja, wewe kwa ufafanuzi huo mfupi nimekuelewa vema!
 
kama umesoma cha 1 tanzania,u mean UDSM,utakuwa unawasingizia,KUNA WALIMU NA WAHTIMU WA UDSM HUMU,USIZUE MAMBO
Pengine jamaa hamjamuelewa maanisha haswa.
Kiukweli internet is full materials some authentic and some not.
So wherever u refer to a certain website you have to be very careful since no one owns the internet and mind you that anyone can start a blog or website and write what he or she feels
So never be so sure of the materials you get from the internet unless that website is official and authentic kama ya world bank,IMF na mashirika rasmi yanayotambulika
 
Huo mfumo mpya tumeshaupata wa kijasusi?
 
Asante mkuu
 
Mbona hujamaliza kua ili yote haya yafanyike ccm itokee madarakani c vingine maana hawataki kubadili au kuboresha ulicho andikaa... Eti watu hawajulikani Wakati tunawaona ktk videos au camera...

Ningefulai ungeongelea apa kwetu maana n dhaifu Cjui hatujui au sielewi tuu... Nchi yetu inaelekea wap yan ktk sekta karibu zotee...
 

Sometime hata akili kidogo itumike. Mtu anaulizwa ATHIBITISHE ukweli anasema uka google halafu unatoa link huoni kama unasoma mawazo ya mtu aliyo upload tu. Pamoja na kugoogle compare with realities mfano unagoogle unakuta uchumi umeongezeka kwa asilimia 20 lkn ukienda mtaani watu wanaishi kwa mlo mmoja mpira unapigwa goli hadi goli na unagundua ni zaidi ya asilimia 80 . Je kugoogle kuna reality gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…