Tunahitaji mfumo mpya wa kijasusi?

Tunahitaji mfumo mpya wa kijasusi?

Sina mchango mkubwa kwenye uzi huu, hii ni kutokana na uchanga wangu kwenye hii tasnia. Ila ninaunga hoja wengi waliochangia kwenye huu uzi.
 
Mbona wamerakani walienda kumchukua Osama Bin Laden na kumuua bila ya wao kujua??? Je CIA taarifa walizipata wapi? Hebu jifunze kuunganisha dots bana!
Walienda kumchukuwa na kumuuwa sio Osama ni uzushi tuu alieuliwa ni baba wa mfanyabiashara maarufu wa magari Dubai wacha kuamini uwongo wa muamerica
 
Back
Top Bottom