Tunahitaji remix ya wimbo Kama vipi wa Mez B, Ray C na Noorah

Tunahitaji remix ya wimbo Kama vipi wa Mez B, Ray C na Noorah

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari wakuu,

Ni wasanii gani unapendekeza watoe remix ya wimbo kama vipi wa Mez B, Ray C na Noorah.

Wasanii watatu.
Nani aimbe sehemu ya Mez B
Nani aimbe sehemu ya Ray C
Nani aimbe sehemu ya Noorah

Sehemu ya Noorah inahitaji kijana mwenye swaga. Sijui kama tutampata.
 
Kwa Ray C aimbe Yammi
Kwa Mez B aimbe Konde Boy Jeshi
Na kwa Noorah aimbe Mbuzi Lunya

Na Production asimame S2Kizzy
 
Kwa
Rayc-aimbe Ruby
Kwa mez b-aimbe J Melody
Kwa Noorah-aimbe Darasa
 
Back
Top Bottom