Kama mimi ndie Rais wa jamhuri, naanza na mwanza kuipa kipaumbele, miundo mbinu ya barabara, international airport, lami kila kona ya jiji, taa za barabarani jiji kama lote, maghorofa marefu yajengwe maana ni jiji la biashara na kivutio kwa watalii na watanzania kwa ujumla.
For my opinion, Mwanza city is the best city in Tanzania and all east Afrika.
1 Mwanza
2 Dar
3 Mbeya