Nyabutoro
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 1,342
- 1,596
Ukiptia mitandaoni na magazetini unagundua kwamba kuna watu wengi waliumizwa na utawala wa awamu ya tano. Utagundua pia watu sana hasira na baadhi ya wateule wa awamu hiyo na wapo tayari kulipa kisasi.
Kwa uchache wanatajwa Sabaya, Makonda na wengine.
Ili tuoneshe ustaarabu uliotukuka kwa Dunia na tutengeneze kizazi kizuri kijacho ni muhimu sasa kuundwa kwa tume ya maridhiano na wale wote walioumizwa wajitokeze na wale waliowaumiza wenzao wajitokeze pia kuomba msamaha.
Lakini pia Serikali iwaze namna ya kuwalipa fidia walioumizwa na awamu ya tano mfano waliobomolewa nyumba kimara, waliofukuzwa kazi kwa figisu, familia zilizopoteza wapendwa wao nk.
Nawasilisha.