Tunahitaji vijana 2 wa kupeleka bidhaa kwa wateja wetu (delivery)

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Kampuni ya usambazaji bidhaa asilia za ngozi na nywele iliyopo Kibaha, maili , tunahitaji vijana kusambaza bidhaa kwa wateja wetu maalum (Delivery) :

Jinsia: Yoyote

Umri: Miaka 18 -25

Makazi : Kibaha hadi Kibamba

Sifa: Awe anajituma

Mshahara : Maelewano

Piga : 0713-039 875 kwa mawasiliano zaidi
 
Hivi unavyoweka umri huo 18-25 una maana yeyote au ni kufanya mambo bila kufikiria, kuna tatizo gani mtu wa miaka 26 au 40 akifanya hiyo kazi kama ana licence,mwaminifu, uzoefu na good driving records,mambo muhimu kama awe na licence huoni unaona miaka tuu ambayo haina maana yeyote na kazi unayoitangaza
 
18-25 ni flexible
 
Back
Top Bottom