Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Wenye nia washachukua namba mda huu weww upo unacomment huku wenzako wanayapangaOrder zinakuwepo tayari? Au ni kutembeza?
Mshahara bei gani?
18-25 ni flexibleHivi unavyoweka umri huo 18-25 una maana yeyote au ni kufanya mambo bila kufikiria, kuna tatizo gani mtu wa miaka 26 au 40 akifanya hiyo kazi kama ana licence,mwaminifu, uzoefu na good driving records,mambo muhimu kama awe na licence huoni unaona miaka tuu ambayo haina maana yeyote na kazi unayoitangaza
Apo unaenda kua chinga bila kujuaOrder zinakuwepo tayari? Au ni kutembeza?
Mshahara bei gani?
Mimi si mwenye nia mimi ni mwenye njiaWenye nia washachukua namba mda huu weww upo unacomment huku wenzako wanayapanga
Sawa sawa ..una nia ya kutafuta hyo njia au ?Mimi si mwenye nia mimi ni mwenye njia