Labda tukiondoa Korea kaskazini, Tanzania inaweza ikawa nchi inayofuatia kwa kuwa na media ambazo kazi yao kubwa ni kumsifia rais. Ukiangalia magazeti karibu tote, radio na TV station yote ni kusifia tu. Hakuna tena uchambuzi, ukosoaji na uelimishaji.
Wako wapi akina Generali Ulimwengu, Absolom Kibanda nk wa kizazi hiki?
Jana rais ametimiza miaka mitatu madarakani, hakuna gazeti, radio wala tv iliyofanya uchambuzi wakina juu ya utawala wake. Wote walikuwa ni kusifu na kupongeza kama vile sio wasomi. Tatizo ni njaa, elimu, uwoga au system imejipenyeza kila mahali?