Tunahitaji wasanii wa studio (label)

Tunahitaji wasanii wa studio (label)

PARTY B

Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
28
Reaction score
11
Tunahitaji wasanii wa muziki bongo flavior na hip hop nafasi tano zitashindaniwa kwa kucoment na kulike kwa kuacha song yako ulio record au melody kama hujarecod na namba yako ya simu au email kisha utapewa taarifa
studio IPO laela rukwa Tanzania
 

Attachments

Mmewahi kuandaa kibao chochote kikahit au mnatafuta vichwa vya wendawazimu?
 
Back
Top Bottom