William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kwangu swala la muungano ni la kipuuzi hadi KuzuA mjadala na kuacha maswala ya msingi. Kwa maoni yangu muungano uvunjwe tu tuanze kujadili maswala ya msingi ya taifa. Historia inaonesha mataifa yaliyotengana huwa na ushindani na huendelea haraka kama korea kusini, hong Kong , ethiopia eritria israel na palestina dola ya Rumi sahara magharibi na nk.
Pili muungano huwa na maana kwa nchi zilizoendelea kiuchumi zinazoshirikiana kuendelea kama umoja wa ulaya USA. data ujerumani na sasa Rusia. lakini zamani ata urusi ilisambaratika.sio masikini kama tanganyika na zanzibar zinapokwama kisingizio muungano wakati ni viongozi wezi. Vipi tuofie usalama wa tanganyika baada ya kuvunjika muungano wakati tanganyika ilikuwepo hata kabla muungano. tumepakana na nchi za vita kibao na tuko salama.
muungano ungekuwa Mzuri sana lethoto na Swaziland zingeukimbilia kwani zimezungukwa na south afrika na hazihofii usalama.
tukitengana wazanzibari na wapemba tutaingiliana na kuhusiaana bila kusumbuana na si kufukuzana mbona tuko na wachina kibao na wanamiliki ardhi bongo Vicent najua unaujasiri tuukatae muungano tupunguze mijadala tuijenge taganyika.
ivi ni faida gani iliyopata tanganyika kutokana na muungano kuwazidi Unguja na pemba? ni usalama gani nchi kama lethoto na swaziland iliukosa hata hata wakati wa south africa haijawa huru.
mm