Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
kwangu swala la muungano ni la kipuuzi hadi KuzuA mjadala na kuacha maswala ya msingi
kwa maoni yangu muungano uvunjwe tu tuanze kujadili maswala ya msingi ya taifa
historia inaonesha mataifa yaliyotengana huwa na ushindani na huendelea haraka kama korea kusini, hong Kong , ethiopia eritria israel na palestina dola ya Rumi sahara magharibi na nk.
pili muungano huwa na maana kwa nchi zilizoendelea kiuchumi zinazoshirikiana kuendelea sio masikini kama tanganyika na zanzibar zinapokwama kisingizio muungano wakati ni viongozi wezi
vip tuofie usalama wa tanganyika baada ya kuvunjika muungano wakati tanganyika ilikuwepo hata kabla muungano. tumepakana na nchi za vita kibao na tuko salama.
muungano ungekuwa Mzuri sana lethoto na Swaziland zingeukimbilia kwani zimezungukwa na south afrika na hazihofii usalama.
tukitengana wazanzibari na wapemba tutaingiliana na kuhusiaana bila kusumbuana na si kufukuzana mbona tuko na wachina kibao na wanamiliki ardhi bongo Vicent najua unaujasiri tuukatae muungano tupunguze mijadala tuijenge taganyikann
Kweli tupu