Chizi karogwa tena yule waziri mkuu fake atuambie hiyo script iliishia wapiWakuu,
Nani mwenye update ya hili igizo?
Kesi ya yule mwanajeshi wa Marekani mwenye asili ya Kenya aliyekamatwa na mabomu 4 ilifika mahakamani?
Mtuhumuwa aliachiwa au bado yuko ndani?
Kama walivyotoa taarifa za kukamatwa kwake, ndivyo wanatakiwa kutuarifu juu ya mwenendo wa kesi hii ya mtu aliyekuwa akihatarisha Usalama wa Taifa.
Katambi na Polisi wako, tupeni updates
Chawa walivalia njuga ule utapeli wa kijuha sasa hivi ukilizungumzia wanakwambia umetumwa na mabebru kueneza uzushi.Wakuu,
Nani mwenye update ya hili igizo?
Kesi ya yule mwanajeshi wa Marekani mwenye asili ya Kenya aliyekamatwa na mabomu 4 ilifika mahakamani?
Mtuhumuwa aliachiwa au bado yuko ndani?
Kama walivyotoa taarifa za kukamatwa kwake, ndivyo wanatakiwa kutuarifu juu ya mwenendo wa kesi hii ya mtu aliyekuwa akihatarisha Usalama wa Taifa.
Katambi na Polisi wako, tupeni updates
Mbona askari wenu Tesha nae humuulizii yuko wapi? Si mlimsifia sana?Wakuu,
Nani mwenye update ya hili igizo?
Kesi ya yule mwanajeshi wa Marekani mwenye asili ya Kenya aliyekamatwa na mabomu 4 ilifika mahakamani?
Mtuhumuwa aliachiwa au bado yuko ndani?
Kama walivyotoa taarifa za kukamatwa kwake, ndivyo wanatakiwa kutuarifu juu ya mwenendo wa kesi hii ya mtu aliyekuwa akihatarisha Usalama wa Taifa.
Katambi na Polisi wako, tupeni updates
Haa Halafu Anakwenda Public Anayoyasema Njoo Kwenye Ukweli HuuoniKuna watu unaweza ukajiuliza maswali 1000 walifikaje pale walipo, na bado ukakosa majibu.
Maigizo yao, na maigizo yao yana charasteristic moja, huwa hayana mwisho, hakuna mwisho wa kesi au mtuhumiwa hata kumuona hutomuonaWakuu,