Wakuu,
Nani mwenye update ya hili igizo?
Kesi ya yule mwanajeshi wa Marekani mwenye asili ya Kenya aliyekamatwa na mabomu 4 ilifika mahakamani?
Mtuhumuwa aliachiwa au bado yuko ndani?
Kama walivyotoa taarifa za kukamatwa kwake, ndivyo wanatakiwa kutuarifu juu ya mwenendo wa kesi hii ya mtu aliyekuwa akihatarisha Usalama wa Taifa.
Katambi na Polisi wako, tupeni updates