"Tunaifanyia testing mkuu"

"Tunaifanyia testing mkuu"

chief_

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
830
Reaction score
1,395
Jamaa anapishana na NOAH yake chalinze akiwa kwenye bus na yenyewe ikiwa imebeba Kiroba cha mahindi na watu na aliipeleka kwa fundi ikatengenezwe ilala. Kumpigia fundi kumuuliza mbona gari yake kaiona chalinze fundi akasema "Tunaifanyia testing mkuu" [emoji23][emoji23]
 
Kwani fundi Maiko siku hizi ana gereji?[emoji848]
 
Jamaa anapishana na NOAH yake chalinze akiwa kwenye bus na yenyewe ikiwa imebeba Kiroba cha mahindi na watu na aliipeleka kwa fundi ikatengenezwe ilala. Kumpigia fundi kumuuliza mbona gari yake kaiona chalinze fundi akasema "Tunaifanyia testing mkuu" [emoji23][emoji23]
Naam[emoji3]
 
Back
Top Bottom