chief_
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 830
- 1,395
Jamaa anapishana na NOAH yake chalinze akiwa kwenye bus na yenyewe ikiwa imebeba Kiroba cha mahindi na watu na aliipeleka kwa fundi ikatengenezwe ilala. Kumpigia fundi kumuuliza mbona gari yake kaiona chalinze fundi akasema "Tunaifanyia testing mkuu" [emoji23][emoji23]