Kabisa....Bongo darisalam
Naam[emoji3]Jamaa anapishana na NOAH yake chalinze akiwa kwenye bus na yenyewe ikiwa imebeba Kiroba cha mahindi na watu na aliipeleka kwa fundi ikatengenezwe ilala. Kumpigia fundi kumuuliza mbona gari yake kaiona chalinze fundi akasema "Tunaifanyia testing mkuu" [emoji23][emoji23]
Wacha niifanyie testing hii threadMafundi utawajua tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwahiyo alikuwa anaifanyia test kweli?Yule kakamilika