Tunaingia Makaburini hatujatanguliza kheri yoyote

"Kwa hakika mmetujia sisi hali ya kuwa ni wapweke {mmoja mmoja} kama tulivyowaumba kwa mara ya kwanza na mmeviacha vile vyote tulivyokupeni nyuma ya migongo yenu, na wala hatuwaoni pamoja na nyinyi waombezi wenu ambao mlidai {huko duniani} kwamba wao ndio washirika kwenu, kwa hakika yamekatika mahusiano baina yenu na yamewapotea yale mliyokuwa mkiyadai."

Quran 6:94
View attachment 2472257
SubhanaAllah , naisoma mara mbili mbili
 
Ni sadaka ya namna gani inahesabika huko akhera? Vipi ambao hatutoi sadaka/zaka huko misikitini ama makanisani lakini tunasaidia wenye uhitaji na kuishi vizuri mpaka na maadui zetu?
Naona kuna shida ndio maana nimeona ule ujumbe, usijali ishu yenyewe sio sensitive Sana naweza pata jibu kwa member mwingine, Ila ishughulikie bhana unaweza siku ukapishana na gari la Mshahara hivi hivi hahaha
Lipitie kwangu hilo gari nitafikisha huo mshahara 😂😂😂
 
Kiukwel Allah atufanyir wepesi wa kutambua kila ibada ni kuilazimisha nafsi mpaka izoee la sivyo kila siku tatoa sababu maana maisha yanatupeleka mputa, ukipata kidogo matatizo yanakuja kede kede unajikuta hutoi,
Japo pia watu wajue sadaka sio ktk pesa tu hata kusaidia au kupanda mti ukawapa watu kivuli ni ktk sadaka zenye kuendelea, kidogo tunachofundishwa nasi tukakifundisha nacho kina malipo kama nyuzi zako kaka ETUGRUL BEY .
Usimamizi wa watoto wetu na wale wanaotuwajibikia tukawashughulikia vema nayo ni katika sadaka. Kubwa ni nia tu
 
Swadakta ukhty wangu umesema kweli kabisa, hakika nafsi yahitaji kuongozwa kuelekea kwenye mambo ya kheri.

Lau tukijiendekeza tutashindwa kuchuma Yale ambayo yatatupa neema na kujaza mizani yetu siku ya hukumu
 
At-Takaathur (102:1)

أَلْهَىٰكُمُ ٱلتَّكَاثُرُAlhakumu alttakathuru

Kumekushughulisheni kutafuta wingi,

At-Takaathur (102:2)

حَتَّىٰ زُرْتُمُ ٱلْمَقَابِرَHatta zurtumu almaqabira

Mpaka mje makaburini!
Baby zu ile issue tuliongea mtoto si ameshakomaa komaa, umefikia wapi?!.
 
Swadakta ukhty wangu umesema kweli kabisa, hakika nafsi yahitaji kuongozwa kuelekea kwenye mambo ya kheri.

Lau tukijiendekeza tutashindwa kuchuma Yale ambayo yatatupa neema na kujaza mizani yetu siku ya hukumu
Na cha kusikitisha njia za kujaza mizani ni nyepesi lakini mpka zijae ndo mtihani, waza swala tu ni dakika tano tena isiyo na gharama lakinj wangapi wanaswali lkn ukija mfano kwenye ulevi pesa ya kulewa itahitajika na ya supu sijui ya kukata hangover na bado utakesha utoke na majeraha lkn cha kushangaza wanadamu watakimbilia njia hii, allah atuongoze
 
We Acha Tu ni mtihani kwakweli, njia ya kwenda peponi ni nyepesi na free ndo hatuitaki Ila tunataka njia yenye gharama na maumivu kibao na mwisho siku ni Motoni.

Tuombe tupate mwisho mwema
 
Back
Top Bottom