Mzeetambitambi
Member
- Aug 5, 2022
- 27
- 20
SubhanaAllah , naisoma mara mbili mbili"Kwa hakika mmetujia sisi hali ya kuwa ni wapweke {mmoja mmoja} kama tulivyowaumba kwa mara ya kwanza na mmeviacha vile vyote tulivyokupeni nyuma ya migongo yenu, na wala hatuwaoni pamoja na nyinyi waombezi wenu ambao mlidai {huko duniani} kwamba wao ndio washirika kwenu, kwa hakika yamekatika mahusiano baina yenu na yamewapotea yale mliyokuwa mkiyadai."
Quran 6:94View attachment 2472257
Ni sadaka ya namna gani inahesabika huko akhera? Vipi ambao hatutoi sadaka/zaka huko misikitini ama makanisani lakini tunasaidia wenye uhitaji na kuishi vizuri mpaka na maadui zetu?
Lipitie kwangu hilo gari nitafikisha huo mshahara πππNaona kuna shida ndio maana nimeona ule ujumbe, usijali ishu yenyewe sio sensitive Sana naweza pata jibu kwa member mwingine, Ila ishughulikie bhana unaweza siku ukapishana na gari la Mshahara hivi hivi hahaha
Nakuaminia ukhty wangu najua litafika Tu wala sina Shaka na wewe hata kidogoLipitie kwangu hilo gari nitafikisha huo mshahara πππ
KabisaNakuaminia ukhty wangu najua litafika Tu wala sina Shaka na wewe hata kidogo
Swadakta ukhty wangu umesema kweli kabisa, hakika nafsi yahitaji kuongozwa kuelekea kwenye mambo ya kheri.Kiukwel Allah atufanyir wepesi wa kutambua kila ibada ni kuilazimisha nafsi mpaka izoee la sivyo kila siku tatoa sababu maana maisha yanatupeleka mputa, ukipata kidogo matatizo yanakuja kede kede unajikuta hutoi,
Japo pia watu wajue sadaka sio ktk pesa tu hata kusaidia au kupanda mti ukawapa watu kivuli ni ktk sadaka zenye kuendelea, kidogo tunachofundishwa nasi tukakifundisha nacho kina malipo kama nyuzi zako kaka ETUGRUL BEY .
Usimamizi wa watoto wetu na wale wanaotuwajibikia tukawashughulikia vema nayo ni katika sadaka. Kubwa ni nia tu
Baby zu ile issue tuliongea mtoto si ameshakomaa komaa, umefikia wapi?!.At-Takaathur (102:1)
Ψ£ΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΩΩ Ω Ω±ΩΨͺΩΩΩΩΨ§Ψ«ΩΨ±ΩAlhakumu alttakathuru
Kumekushughulisheni kutafuta wingi,
At-Takaathur (102:2)
ΨΩΨͺΩΩΩΩ° Ψ²ΩΨ±ΩΨͺΩΩ Ω Ω±ΩΩΩ ΩΩΩΨ§Ψ¨ΩΨ±ΩHatta zurtumu almaqabira
Mpaka mje makaburini!
Hahah acha kutega juba mbele ya bahati yangu bhana.Lipitie kwangu hilo gari nitafikisha huo mshahara πππ
Na cha kusikitisha njia za kujaza mizani ni nyepesi lakini mpka zijae ndo mtihani, waza swala tu ni dakika tano tena isiyo na gharama lakinj wangapi wanaswali lkn ukija mfano kwenye ulevi pesa ya kulewa itahitajika na ya supu sijui ya kukata hangover na bado utakesha utoke na majeraha lkn cha kushangaza wanadamu watakimbilia njia hii, allah atuongozeSwadakta ukhty wangu umesema kweli kabisa, hakika nafsi yahitaji kuongozwa kuelekea kwenye mambo ya kheri.
Lau tukijiendekeza tutashindwa kuchuma Yale ambayo yatatupa neema na kujaza mizani yetu siku ya hukumu
Hahahaha january hii uncle zako wanahitaji feesππππHahah acha kutega juba mbele ya bahati yangu bhana.
Hahaha we haya, tutanyamaziana.Hahahaha january hii uncle zako wanahitaji feesππππ
In shaa allah mwezi wa pili nitajitahidiBaby zu ile issue tuliongea mtoto si ameshakomaa komaa, umefikia wapi?!.
We Acha Tu ni mtihani kwakweli, njia ya kwenda peponi ni nyepesi na free ndo hatuitaki Ila tunataka njia yenye gharama na maumivu kibao na mwisho siku ni Motoni.Na cha kusikitisha njia za kujaza mizani ni nyepesi lakini mpka zijae ndo mtihani, waza swala tu ni dakika tano tena isiyo na gharama lakinj wangapi wanaswali lkn ukija mfano kwenye ulevi pesa ya kulewa itahitajika na ya supu sijui ya kukata hangover na bado utakesha utoke na majeraha lkn cha kushangaza wanadamu watakimbilia njia hii, allah atuongoze
Sawa mi nahesabu tu miezi, allah akufanyie wepesi.In shaa allah mwezi wa pili nitajitahidi
Ameen, nitajitahidi sans manake bila sehemu hizo shetani anasimamaSawa mi nahesabu tu miezi, allah akufanyie wepesi.
Allah akulipe pia kwa ukumbushoSawa mi nahesabu tu miezi, allah akufanyie wepesi.
HakikaWe Acha Tu ni mtihani kwakweli, njia ya kwenda peponi ni nyepesi na free ndo hatuitaki Ila tunataka njia yenye gharama na maumivu kibao na mwisho siku ni Motoni.
Tuombe tupate mwisho mwema