BestOfMyKind
JF-Expert Member
- Apr 26, 2012
- 1,350
- 1,464
That's the philosophical dilemma, why do we struggle to live only to die in the end?Kwanini tunapambana kuishi kama tunaishi ili tufe ?
Why are dying to live, if we are just living to die ?
Ni lipi?nadhani lengo lakuja duniani silo ulilolisema.
"Zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi"Sheria za maisha ni mbili tu
1.Survive
Hii ndio sheria ya msingi, hakikisha unakua "hai",
Kumbatia kitu chochote kinacho kuongezea "nafasi" ya kuishi
Mfano, chakula bora, Mazoezi, Usafi, Maarifa, Ku socialize na rafiki, etc.
Achana na vitu vinavyo kupunguzia nafasi ya kuishi kama Kuendesha gari ukiwa umelewa, utumiaji wa madawa ya kulevya, ugomvi, msongo wa mawazo, lishe duni, kutofanya mazoezi, huzuni, etc
2.Reproduce
Kwa sababu huwezi kua "hai" milele hata kama utazingatia yote hayo, kuna mda utazeeka
Kwa kuzaliana, "nature" inakupa nafasi ya kuingia kizazi kijacho, na kuhakikisha jamii ya binadamu inaendelea kuwepo.
Hakikisha unaacha. Watoto wa kutosha. (angalau kwanzia watatu)
Maisha hapa duniani yanataka hivyo tu,
Tazama hatua zote alizopiga binadamu, vumbuzi zote za sayansi na teknolojia lengo ni kuhakikisha tunaendelea ku survive na ku "reproduce"
Ili tuonje joto yajiweYaani kama una uhai leo jua utakuja kufa tu.
Kwahiyo punguza kuchakarika, kujivimbisha, kutukana watu.
Utakufa na hutokuwepo tena duniani.
Kiburi na majivuno yako yote hayatakua na maana na wala havitakuwepo duniani tena.
Umezaliwa ili uje ufe na hili haliepukiki.
Utafiti umeshafanywa, kwa miaka zaidi ya 2000 binadamu wameishi na kufa. Katika kipindi chote cha milenia 2 hakuna aliyewahi kuishi bila kufa. End product ya maisha ni kifo.Fanya utafiti kujua kwanini tulikuja duniani, kuna sababu ya wewe kuwa hapo ulipo. Ila hiyo uliyosema sio sababu ya msingi
Mimi ninaishi ili nile.Yaani kama una uhai leo jua utakuja kufa tu.
Kwahiyo punguza kuchakarika, kujivimbisha, kutukana watu.
Utakufa na hutokuwepo tena duniani.
Kiburi na majivuno yako yote hayatakua na maana na wala havitakuwepo duniani tena.
Umezaliwa ili uje ufe na hili haliepukiki.