Tunaishi katika sayari tofauti kabisa kimaono, na hii ndio inatofautisha timu kubwa na timu kongwe

Ushawahi kuona Madrid au Simba anawaza kuchukua shirikisho au uropa team ndogo kama utopolo na arsenal ndo zinawaza
Ni kweli kabisa Simba kuonesha kuwa hawalitaki kombe la CAF confederation, waliamua kujitoa kushiriki baada ya kuangukia kwenye shirikisho msimu uliopita. Ila cha ajabu Namungo sijui ni Azam wale, wakaenda ugenini kwa kutumia kila mbinu ili aweze kufuzu ikiwemo kuwasha moto kunakohusisha na ushirikinan.

Na kingine ni kwamba Real madrid ana makombe mawili ya Europa league. ambapo zamani ilikuwa ikitambulika kama UEFA cup.
 
Aliyaongea kwa utashi wake na mihemko yake sababu ya kutawaliwa na hisia zake
Kama mtu anatumia platform za klabu huku nyuma yake kuna nembo za klabu na wadhamini wake, utatofautisha vipi kwamba muda huu anaongea kwa utashi wa klabu na huu kwa utashi wake?
 
  • Mamelod hajawahi hata kushiriki Kombe la Shirikisho na halijui

2007 CAF Confederation Cup group stage

Group A



Team
Pts
Pld
W
D
L
GF
GA
GD
13
6​
4​
1​
1​
13​
4​
+9​
12
6​
4​
0​
2​
11​
9​
+2​
6
6​
2​
0​
4​
7​
13​
-6​
4
6​
1​
1​
4​
5​
10​
-5​

Sijui ulikuwa wapi wakati huo!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hilo hilo kombe la loosers
Tunalichukua na kulinunulia kabati lake.
 
Yanga inaenda kuwa kama Sevilla, tutachukua CAFCC na mwakani hao CAFCL kama kawaida.
 
Mkuu, kwa kuijua kwako Barcelona, umewahi kuiona ikishiriki Europa zaidi ya msimu huu? Usiongee kinazi na kujitoa akili. Kombe la Mabingwa na Kombe la Shirikisho yote ni mashindano ya kimataifa kama ilivyo kwa UCL na Europa League ingawa inapishana kwa hadhi. Kila timu, wakati wowote, inaweza kushiriki hili au lile. Simba imeshiriki yote kama ilivyo kwa Yanga.
 
Sasa si umeahasema kuwa yanatofautiana kwa hadhi na hapo ndio point yetu ilipo[emoji120]
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa si umeahasema kuwa yanatofautiana kwa hadhi na hapo ndio point yetu ilipo[emoji120]View attachment 2598126
Mkuu, kadiri ulivyoiweka mada yako ni kama Kombe la Shirikisho ni nothing. Fahamu kuwa wababe wote wa Afrika wamewahi kushiriki kombe hilo: ikiwemo Simba na TP Mazembe. Hoja yako ya sasa inapaswa kuiombea na kuitia hamasa Simba ivuke na ifikie hatua ya nusu fainali. Kujisifu kwa kuishia tu robo fainali kila mwaka ni uzuzu fulani hivi...
 
Kwani kufukiza uvumba ni uchawi? Unamaanisha Roman Catholic wote ni wachawi?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Umeongea fact sana

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Acha ushamba na wale waarabu koko waliwasha moto walikuwa wanaloga
 
Makundi ya CAF CHAMPION LEAGUE ni sawa na nusu fainali ya malooser utopolo
 
Hizo timu zote ulizozitaja zimewahi kuwa mabingwa wa Afrika kwa nyakati tofauti tofauti, vipi kuhusu timu yako. Anyway acha tushinde kwa vibonde wenzetu na wewe shinda kwa unaowaita wakubwa wenzako tuone.
 
Nilichoelewa ni kwamba Makolo wamechukua kombe la robo fainali la shirikisho mara moja
 
Manara ajengewe sanamu.
 
Kwahiyo huko alipokwenda ronado sasa hivi wamo kwenye uefa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ